Habari za Mastaa

VIDEO: Bodi ya filamu ilivyomfungia Wema Sepetu kisa video yake na ‘Future Husband’

on

NI October 26, 2018 Bodi ya Filamu Tanzania imemfungia mwigizaji Wema Sepetu sababu ikiwa ni video yake ambayo ilisambaa mitandaoni hivi karibuni, ambapo kupitia Katibu wa Bodi hiyo Bi Joyce Fissoo amewaambia waandishi wa Habari kwamba walikaa na muigizaji huyo na kumhoji kabla ya kumpatia adhabu hiyo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI KWA KUBONYEZA PLAY

BASATA imeongea kuhusu Wema Sepetu “Asifikiri sheria imelala, siyo mara ya kwanza” 

Nimefunga jalada la upuuzi, yanayokuja kutokana na hili siyajui’- WEMA 

 

Soma na hizi

Tupia Comments