Top Stories

Rais JPM ampiga maswali rubani LIVE, ajibu sikua peke yangu (+video)

on

Leo October 26, 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo ameungana na wananchi wa DSM kuipokea ndege mpya aina ya Boeing 787-8 Dreamliner iliyonunuliwa na Serikali kwa lengo la kuimarisha usafiri wa anga na kukuza uchumi hapa nchini, bonyeza PLAY hapa uone JPM akimuuliza maswali rubani aliekuja na ndege hiyo.

MAGUFULI AWAWAKIA WAHUDUMU ATCL “MNALALAMIKIWA SANA JIREKEBISHENI”

Soma na hizi

Tupia Comments