Top Stories

Magufuli atoka Ikulu na Mkewe afika nyumbani kwa Mzee mahiri alieacha Mke (+video)

on

Hii ni video ikimuonyesha Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifika nyumbani kwa Marehemu James Mapalala aliyefariki dunia juzi tarehe 23 Oktoba, 2019 katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Herbert Kairuki Jijini DSM alikokuwa akipatiwa matibabu.

MTAZAME RAIS MAGUFULI AKISALI KWA UNYENYEVU “MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE”

Soma na hizi

Tupia Comments