Top Stories

JPM amteua Naibu Waziri Mpya wa Afya, Ndugulile OUT

on

Rais Magufuli amemteua Dkt. Godwin Mollel (Mbunge wa Siha) kuwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuanzia leo akichukua nafasi ya Dkt. Faustine Ndugulile (Mbunge wa Kigamboni) ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

WANAFUNZI WAOANA LIKIZO YA CORONA TUNDURU, DC AWANYOA NYWELE HADHARANI “WATANDIKWE VIBOKO”

Tupia Comments