Top Stories

JPM amvaa mfungwa alietoka gerezani “alikaa miezi sita, mshikeni tena, akalime mzururaji” (+video)

on

Leo November 20, 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amezungumza na Wananchi wa eo la Msamvu ambao waliomsubiri njiani akielekea Makao Makuu ya Nchi Jijini Dodoma.

Mbali na maagizo mengine aliyotoa Rais Magufuli amekemea vitendo vya uzururaji vinavyofanywa na baadhi ya watu wachache Mkoani humo na kuwataka kujihusisha na kilimo.

MAMA AAMSHA SHANGWE “RAIS MAGUFULI SIKU HIZI WANAHESHIMA, ENDELEA KUTUMBUA MAFISADI”

Soma na hizi

Tupia Comments