Ad
Ad

Top Stories

JPM awaka “Abood alishindwa, sipendi unafki, uje ugombe Ubunge Rostam” (+video)

on

Rais wa Tanzania John Magufuli leo Ijumaa Februari 12, 2021 amezindua kiwanda  cha ngozi cha ACE Leather Tanzania Limited-Kihonda mkoani Morogoro.

“Nampenda sana Abood na jana nilimpongeza ila kwenye hili la kukaa na viwanda viwili kwa miaka 24 bila kuviendeleza, imeniuma sana, bora ROSTAM ulikaa nacho wee hiki kiwanda ila leo umekiendeleza, ila Abood alikaa navyo wee, akakopea pesa akanunua magari”-JPM akizindua kiwanda cha ngozi cha Ace Leather LTD, Morogoro

“ROSTAM nakusifu umefanya yaliyo mema, nilifikiria siku nyingine uje ugombee Ubunge hapa Morogoro umtoe Abood aliyewakosesha ajira wapiga kura wake, Abood iwe fundisho, kukaa na viwanda viwili kwa miaka 24 bila kuviendeleza hapana, Abood kwa miaka hii mitano jenga kiwanda”-JPM

Soma na hizi

Tupia Comments