Mix

Rais JPM alivyoshtukiza Wizara ya Fedha na kukuta wafanyakazi hawapo !! (Audio)

on

Kazi imeanza !! Taarifa ikufikie kwamba siku moja baada ya Rais Magufuli kukabidhiwa kiti cha Urais ameanza kazi yake kwa surprise, Rais JPM amekatisha kwa mguu kutoka Ikulu mpaka Wizara wa Fedha maeneo ya Posta na kukuta ndani ya Ofisi kuna wafanyakazi ambao hawapo Ofisini na ilikuwa ni muda wa kazi.

IMG-20151106-WA0019

Hii stori imeripotiwa pia kwenye taarifa ya Kituo cha ITV na hii ni sehemu ya sauti niliyoirekodi habari hiyo.

IMG-20151106-WA0018

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments