Mix

VideoFUPI: Rais Magufuli alipoendesha Basi la Mwendokasi Dar es salaam

on

President Magufuli leo January 25 2017 ameweka baraka zake kwenye mradi wa Mabasi yasifirishayo abiria kwa urahisi Dar es salaam maarufu kama ‘Mwendokasi‘ ambapo shughuli nzima ilifanyika mtaa wa Gerezani Kariakoo.

JPM aliweka baraka zake zaidi kwa kuchukua time yake kukaa kwenye Usukani na kuendesha moja ya Mabasi hayo kama inavyoonekana kwenye hii video hapa chini……… usiache kukaa karibu na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Snapchat na Instagram kupata vitu kama hivi fastafasta

ULIPITWA? Tazama kwenye hii video hapa chini Rais Magufuli alivyonyanyuka na kumtunza Mrisho Mpoto akiwa anatumbuiza.

Soma na hizi

Tupia Comments