AyoTV

VideoFUPI: Rais Magufuli akiongea kuhusu Mashabiki wa Yanga na Wanakwaya wa Gwajima kwenda Polisi

on

Inaonyesha kila kinachoendelea huwa kinamfikia Rais Magufuli ambapo leo kwenye hotuba yake IKULU Dar es salaam ameongea kuhusu wale Mashabiki wa Yanga walioonekana kulifutafuta vumbi gari la Mfanyabiashara Yusuph Manji baada ya kuingia kuhojiwa Polisi kwenye sakata la dawa za kulevya.

Pamoja na hilo, JPM pia ameongelea ishu ya Wanakwaya wa Askofu Gwajima kwenda na kusimama nje ya kituo cha kati cha Polisi baada ya Askofu huyo kuingia kuhojiwa na Polisi kwenye sakata la dawa za kulevya. tazama hii video hapa chini kuona Rais JPM akizungumza

VIDEO: Askofu Gwajima aongea baada ya kutajwa kwenye orodha ya Paul Makonda, tazama kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Wanakwaya wa Gwajima walivyojitokeza Polisi baada ya Askofu Gwajima kuingia kuhojiwa kwenye sakata la dawa za kulevya

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako Millard Ayo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments