Top Stories

Rais Magufuli anaendelea na kazi, maamuzi yake yameigusa Mwanza leo..

on

January 15 2016 ndio inaelekea mwisho wa siku lakini habari ni wakati wowote, inaponifikia mpya yoyote ni jukumu langu pia kuhakikisha haupitwi na hauchelewi pia kujua kinachoendelea.

Ninayo ripoti ya Mwanza, kumekuwa na vichwa vya habari kuhusu watendaji kadhaa kusimamishwa kutokana na sababu mbalimbali, maamuzi ya Rais Magufuli yameigusa Mwanza leo…

Rais Magufuli amemsimamisha kazi Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Dk. Faisal Issa kwa tuhuma za ukosefu wa nidhamu aliouonesha wakati wa kikao cha Kamati ya Usalama ambapo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza alikuwa mmoja ya waliokuwemo kwenye kikao hicho.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments