Featured

Stori na utani wa Rais Magufuli na watu wake enzi hizo kabla ya Urais, tazama jamaa alivyomwambia agombee Urais

on

Kuna wakati unajikuta unaelekea njia ambayo hujaipanga kwenye maisha yako lakini kumbe Mungu alikupangia huko siku nyingi tu,… jina la Dk. John Pombe Magufuli huenda halikupewa nafasi kubwa sana na watu wengi kwenye kumtarajia kuwa Rais mpya wa Tanzania hasa ukiiangalia list ya makada 38 wa CCM walioingia kwenye mchakato wa kugombea Urais 2015, mwisho wa siku akapita yeye na akapata Urais !!

Hata wakati amechukua fomu ya kugombea Urais hakuwa na mbwembwe wala kujitangaza lakini mwisho wa siku ndio akawa Rais, sasa leo nimepata hii video kutoka kwa mtoa habari Subi Nukta inayoonesha Rais Magufuli akiwa kwenye stori tu na watu wengine enzi hizo akiwa Waziri wa ujenzi, stori zao walikuwa wanagusia ishu ya madini ya Tanzania… mmoja akamchomekea kwamba achukue fomu ya Urais ili abane uchakachuaji wa madini… unajua alijibu nini ?! Cheki hii video ya dakika 2:45.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments