AyoTV

VIDEO: Rais Magufuli alivyohutubia kwa Kiswahili mbele ya Mugabe, Zuma na wengine Ethiopia

on

Rais Magufuli yuko kwenye jiji la Addis Ababa Ethiopita kwenye mkutano wa Wakuu wa nchi za umoja wa Afrika ambapo kwenye uwepo wake huo, amepewa heshima ya kutangaza rasmi kuanza kufanya kazi kwa jengo lililopewa jina la JULIUS NYERERE ambalo limejengwa Addis Ababa.

Baada ya kupewa nafasi hiyo JPM alitumia lugha ya Kiswahili kuzungumza mbele ya Wageni mbalimbali pamoja na Marais mashuhuri wa Afrika kama Robert Mugabe, Paul Kagame, Uhuru Kenyatta, Jacob Zuma na wengine, tazama kwenye hii video hapa chini kujionea

ULIPITWA? Tazama Rais Magufuli alivyopanda Ndege ya abiria Dar es salaam na kuiacha Ndege ya Rais akielekea Addis Ababa Ethiopia

Soma na hizi

Tupia Comments