Mix

Uteuzi mwingine wa JPM leo May 4, 2017

on

Rais Magufuli amemteua Prof. Egid Beatus Mubofu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS).

Taarifa iliyotolewa leo May 4, 2017 na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuziwa Prof. Egid Beatus Mubofu umeanza May 2, 2017.

Prof. Egid Beatus Mubofu aliyekuwa akikaimu nafasi hiyo amechukua nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Joseph B. Masikitiko ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

 

Soma na hizi

Tupia Comments