AyoTV

VIDEO: Majibu ya JPM kuhusu mkutano wa CCM kufanyikia IKULU

on

Kikao cha halmashauri kuu ya Taifa ‘NEC’ ya chama cha mapinduzi ‘CCM’ kimekutana leo December 13 2016 ikulu jijini Dar es salaam.

Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi, Rais Magufuli alifungua kikao hicho ambapo moja ya kitu ambacho alikizungumza ni pamoja na kuhusu mkutano huo kufanyikia Ikulu. Rais Magufuli amesema hataona aibu kuwakaribisha wana CCM ikulu kwa kuwa ikulu ni sehemu ya watanzania wote hivyo anawakaribisha hata vyama vingine wakitaka kufanya vikao vyao hapo. Bonyeza play hapa chini kuatazama

VIDEO: Rais Magufuli alivyokutana na bilionea namba 1 Afrika Ikulu Dar es Salaam, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments