AyoTV

VIDEO: ‘Unaweza kuwa unamchukia mtu lakini usiichukie Tanzania’-Rais Magufuli

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli leo March 24 2017 amewaapisha viongozi mbalimbali akiwemo Waziri Mwakyembe na wenzake na akapata nafasi ya kuzungumza mambo mbalimbali. Bonyeza play hapa chini kuitazama

VIDEO: Alichokikuta Rais Magufuli baada ya kufanya ziara ya kushitukiza bandari DSM, Bonyeza play hapa chini kutazama 

Soma na hizi

Tupia Comments