Mix

Rais Magufuli kasali Singida ibada ya Christmas.. kuna picha 5 hapa

on

Ni kutoka kwenye Kanisa kuu la moyo mtakatifu wa Yesu kwenye mkoa wa Singida ambapo Rais Magufuli na mke wake Mama Janeth Magufuli wamesali ibada ya Christmas ambapo pia Baba Askofu wa jimbo la Singida Edward Mapunda alimuombea Rais.

screen-shot-2016-12-25-at-3-16-24-pm
screen-shot-2016-12-25-at-3-16-58-pm

screen-shot-2016-12-25-at-3-17-11-pm

screen-shot-2016-12-25-at-3-17-25-pm

VIDEO: Ulikosa kuona Makomando wa Tanzania walivyoonyesha uwezo mbele ya Rais Magufuli? bonyeza play kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Kama ulipitwa, Tazama Rais Magufuli alivyofanya usafi Dec 9 2015? tazama hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments