Top Stories

Maneno ya Rais Magufuli kwa Viongozi na Wanachama wote wa CCM nchi nzima

on

Leo February 5, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli amewaandikia ujumbe Viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wanachama na wapenzi wote wa chama hicho wa kuwapongeza baada ya kutimiza miaka 41.

Kupitia ukurasa wake Twitter President JPM ame-tweet akisema namnukuu >>>  Nawapongeza viongozi, wanachama na wapenzi wa wote wa CCM kwa kutimiza miaka 41.”

“Tunaposherehekea mafanikio yetu tuendelee kutunza Amani na Umoja wetu, tuchape kazi kwa maslahi ya nchi yetu na Serikali inayoongozwa na CCM.”– President JPM

“SIO YULE TITO WA DODOMA” – RAIS MAGUFULI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments