Top Stories

Kilichozungumzwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Naibu wake na Majaji baada ya kuapishwa na JPM

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo February 3, 2018, amewaapisha Majaji 2, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali aliowateua February 1, 2018.

Walioapishwa kuwa Majaji ni George Mcheche Masaju na Gerson John Mdemu. Rais Magufuli amemuapisha Dkt. Adelardus Lubango Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Paul Joel Ngwembe kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama walichoongea Viongozi hao baada ya kuapishwa

MAZISHI JUMATATU: BADO HAIJULIKANI NI DINI GANI ITAMZIKA MZEE KINGUNGE, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

 

Soma na hizi

Tupia Comments