Premier Bet SwahiliFlix Ad Tigo Ad

Top Stories

Rais Magufuli kuzindua Hifadhi ya Taifa ya Burigi Chato (+video)

on

Leo July 4, 2019 Rais Dk. John Magufuli anatarajia kuzindua rasmi hifadhi ya taifa ya Burigi Chato July 9 mwaka huu.

Akizungumza na Waandishi wa habari  Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangalla amesema uzinduzi huo utafanyika siku ya Jumanne July 9, 2019.

“AFRIKA HAKUNA ANAETUZIDI KWA MALIASILI, WATALISHWA WATU MILIONI 240” KIGWANGALLA

Soma na hizi

Tupia Comments