Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Rais Magufuli alichomfanyia huyu Dada atosahau, aingia deni maiti itolewe (+video)

on

Rais Magufuli amemuagiza Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Lawrence Museru kumruhusu Rahel Kitwai Roita mkazi wa Turiani Morogoro kuuchukua mwili wa Marehemu mama yake, baada ya mwili huo kuzuiwa kutokana na kudaiwa zaidi ya shilingi Milioni 5 ambazo ni gharama za matibabu.

Rahel Kitwai Roita ametoa ombi hilo akiwa pembezoni mwa njia ya kupita wagonjwa ambapo Mhe. Rais Magufuli ametaka deni hilo la shilingi Milioni 5 adaiwe yeye na ametoa rambirambi ya shilingi laki 5.

DEREVA WA LORI AMUOGOPA MAGUFULI TAZAMA ALIVYOJITETEA “NILIKUWA NAPITA TU”

Soma na hizi

Tupia Comments