Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Kamanda ” Limetekea kwa moto lote, Dereva hayupo, watu wamekimbia” (+video)

on

AyoTV tumezungumza na Kamanda wa Polisi Mkoani Ruvuma amezungumzia ajali iliyotokea “Tukio la ajali ni kweli limetokea jana Saa 4 Usiku Wilaya Songea Vijijini lilikuwa limebeba shehena Petrol, likiendeshwa na Hurbet Mpete ambapo hajajulikana alipo, liliacha njia na kuchochora kuingia porini kisha kugonga mti na kuwaka moto, kichwa kiliungua chote” RPC Ruvuma

Bahati nzuri eneo hilo wakati inatokea ajali kuna Askari walikuwa patrol wakiongozwa na Mkaguzi walifika eneo la tukio mapema na ku-cordon, tunafuatilia Dereva alikuwa pekee yake kwenye gari, tunataka kujua aliweza kutoka au vipi kichwa cha lori kimeharibika sana” RPC Ruvuma

Kwa Mkoa Ruvuma ni kinyume hakuna Mtu aliesogelea mpaka muda huu japo Miji ipo jirani, tumetoa elimu kwa Wananchi” RPC Ruvuma

DEREVA WA LORI AMUOGOPA MAGUFULI TAZAMA ALIVYOJITETEA “NILIKUWA NAPITA TU”

Soma na hizi

Tupia Comments