Top Stories

FULL VIDEO: Hotuba ya President Magufuli Mwanza leo

on

President Magufuli yuko Mwanza kwa ziara ya siku mbili ambapo moja ya mambo aliyofanya kwenye siku yake ya kwanza ni kuzindua daraja la Furahisha, daraja ambalo litawasaidia sana wakazi wa Mwanza kuvuka kwenye eneo hilo pamoja na kuwaepusha na ajali ambazo zilikua zinatokea mara kwa mara.

Hii video hapa chini ina kila kitu kutoka kwenye hotuba ya Mh. Rais.

Soma na hizi

Tupia Comments