Mix

PICHA 10: Kutoka Ikulu wakati wa kiapo cha ahadi ya uadilifu kwa wakurugenzi wateule

on

July 12 2016 wakurugenzi wateule wa Halmashauri, Wilaya, Majiji na Manispaa wamekula kiapo cha uadilifu kwa viongozi wa umma, shughuli hiyo imefanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

2 (2)

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Kassim Majaliwa 

55

Rais John Pombe Magufuli

TT

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

44

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi Luhende Pius ambaye  kumekuwa na taarifa potofu juu ya taaluma yake.

UU

Kamishna wa Maadili kutoka Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji (Mst.) Salome Kaganda

1 33 UG HHH

ULIKOSA HII YA RAIS MAGUFULI ALIVYOMUITA ALIYEPAZA SAUTI ‘WATANZANIA TUKO NYUMA YAKO’? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments