Mix

VIDEO: Hotuba ya JPM kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani – Kilimanjaro

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo May 1, 2017 amehutubia kwenye maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani inayofanyika kitaifa katika Viwanja vya Ushirika mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro.

Kila ifikapo May 1 kila mwaka Dunia huadhimisha Siku ya Wafanyakazi ikiwa ni kutambua, kuthamini, kujali na kuheshimu mchango wao katika maendeleo ya Dunia kwa ujumla ambapo katika kuiadhimisha siku hii Tanzania imekuwa na kauli mbiu inayosema: ‘Uchumi wa Viwanda uzingatie  Haki, Maslahi na Heshima kwa Wafanyakazi’.

Bonyeza play kutazama…

VIDEO: Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani – Ushirika, Moshi. Bonyeza play kutazama…

Soma na hizi

Tupia Comments