Top Stories

President Magufuli kafanya uteuzi wa Jaji Mkuu leo September 10, 2017

on

Rais Magufuli amemteua Prof. Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania ambapo uteuzi huu unaanza leo Jumapili September 10, 2017 ambapo kabla ya uteuzi huo Prof. Ibrahim Hamis Juma alikuwa anakaimu nafasi hiyo.

Prof. Ibrahim Hamis Juma amechukua nafasi ya Jaji Mstaafu Mohamed Chande Othman ambaye amestaafu.

Prof. Ibrahim Hamis Juma ataapishwa kesho Jumatatu September 11, 2017 saa 4:00 Asubuhi, Ikulu, Dar es Salaam.

“Sikuja kutafuta Mchumba” – Rais Magufuli

Soma na hizi

Tupia Comments