Top Stories

“Nimeamua kuwa sadaka kuwanyoosha Mafisadi” – Kauli 15 za JPM leo

on

PRESIDENT Magufuli leo amewatunuku Kamisheni Maafisa wanafunzi ambapo pia alipata nafasi ya kuwahutubia wananchi walioshuhudia sherehe hizo zilizofanyika katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha.

Rais Magufuli kazungumza mambo mengi ya Uchumi na masuala ya Ulinzi na Usalama lakini pamoja kuzungumza mambo mengi nimekusogezea haya 15 makubwa.

“Hamuwezi kujua mateso ninayoyapata, ni shida kuwa Rais” – President JPM

ULIPITWA? MBOWE KUHUSU WANAOJITOKEZA KUMPELEKA LISSU NJE YA NCHI

Soma na hizi

Tupia Comments