AyoTV

VIDEO: JPM akizungumza kwenye sherehe za Muungano Dodoma

on

Sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zinafanyika leo April 26, 2017 kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli. Unaweza kutazama na kusikiliza alichozungumza Rais Magufuli kwa kubonyeza play hapa chini……

Tupia Comments