AyoTV

VIDEO: Rais Magufuli amezindua ujenzi wa Reli ya kisasa DSM-Morogoro

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo April 12, 2017 ameweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa Reli ya kisasa (Standard Gauge) kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro.

Unaweza kubonyeza play kutazama moja kwa moja hapa chini…

Ulikosa? kipindi cha maswali na Majibu Bungeni April 12, 2017, Bonyeza play hapa chini kutazama

 

Soma na hizi

Tupia Comments