Top Stories

MACHOZI: Rais Magufuli akimuongoza Mama yake kuaga Mwili wa Monica

on

Leo August 21, 2018 Nimekuwekea video Rais Dkt. John Pombe Magufuli alivyoongoza Mamia ya Wakazi wa Chato katika Mazishi ya Dada yake Marehemu Monica Magufuli yaliyofanyika Chato Mkoani Geita. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama alivyoaga Mwili wa Dada yake.

Rais Magufuli aumizwa na maneno ya Mama yake “Bora ningetangulia Mimi Monica akabaki”

Viongozi Maarufu waliomzika Dada yake Rais Magufuli “Kikwete, Mwinyi, Mkapa, Odinga” na wengine (+video)

Soma na hizi

Tupia Comments