Premier Bet SwahiliFlix Ad Tigo Ad

Top Stories

Magufuli “sitawali nchi ya machozi, Polisi waliofukuzwa kazi nimewarudisha”

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameiagiza Wizara ya Katiba na Sheria pamoja na vyombo vyote vya ulinzi na usalama vinavyohusika na masuala ya Mahakama kupita katika Magereza yote nchini ili kuchambua na kuwaondoa Mahabusu ambao hawastahili ama hawalazimiki kuwa Magerezani.

Rais Magufuli ametoa agizo hilo leo wakati akizungumza na wananchi wa Kongwa katika Mkutano wa hadhara uliofanyika Mjini hapo muda mfupi baada kutembelea eneo la maziko ya ukoo wa Spika la Baba yake Mzazi, Marehemu Yustino Ndugai.

“Siwezi kutawala nchi ya machozi, machozi haya yataniumiza, siwezi kutawala nchi ya watu wanaosikitika wapo kwenye unyonge na unyonge wao ni wa kuonewa” Rais Magufuli.

RAIS MAGUFULI “WAMEACHIA WAFUNGWA 300 WOTE HAWANA MAKOSA WANYONGE”

Soma na hizi

Tupia Comments