Duniani

Utathubutu kuisafisha smartphone kwa maji na sabuni ??!! Cheki na maujanja ya Wajapan.. (+Video)

on

Ziko simu za kisasa ambazo teknolojia yake inaruhusu  kukutana na maji na haiharibiki lakini sio simu zote zina uwezo huo !! Nakukutanisha na headlines za Wajapan ambao wameamua kuja na simu ambayo utaweza kuisafisha kwa maji na sabuni.

Japan wamethibitisha kwamba simu hizo zimepewa jina la Digno Rafre na zitazinduliwa rasmi wiki ijayo na kuingia kwenye rekodi za kuwa simu ya kwanza yenye uwezo wa kusafishwa kwa maji.

Hii ni nukuu ya alichokisema Boss wa Kampuni hiyo >>> “Timu yetu ilijaribu kuziosha simu hizo zaidi ya mara 700 kwa ajili ya kupima uimara wake.”

Hii hapa video ya tangazo la simu yenyewe mtu wangu.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments