Top Stories

Jacquline “Sitasahau maneno Waziri Mkuu alimwambia Mengi” (+video)

on

Leo July 19, 2019 Mke wa Marehemu Reginald Mengi, Jacquline Ntuabliwe Mengi amengumza kwa mara ya kwanza na Waandishi wa habari baada ya kuondokewa na Mume wake Dr. Mengi.

Jacquline amenukuliwa akisema “Nakumbuka mwaka juzi wakati wa hafla ya chakula kwa walemavu, Mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu Majaliwa na akatoa wazo kwa Dr.Mengi kuanzisha Taasisi ya watu wenye ulemavu na Mume wangu alikubaliana na wazo hilo na Taasisi ikafunguliwa na Mume wangu alifurahi sana”

NI MARA YA KWANZA NAONGEA TANGU MUME WANGU AFARIKI’ JACKILE MENGI

Soma na hizi

Tupia Comments