Breaking News

Jerry Muro aingia barabarani mwenyewe, asimamisha magari 10 “kazi niliyotumwa ni hii” (+video)

on

millardayo.com :: Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro ameingia barabarani na kukamata magari kwenye eneo la Usa River Arusha ambapo jambo la kwanza alilohoji ni “je yanapita kihalali kwenye eneo langu? kazi niliyotumwa ni hii na haya ndio mambo ninayotakiwa niyafanye”

Nilishuhudia magari 10 yakipita katika eneo langu la Usa River, kwanza nataka kujua magari haya yanayopita kwenye eneo langu yanatoka wapi? njia nyepesi ya kutoka Mombasa kwenda Dar es salaam sio ya Namanga, Namanga ni rufi kubwa sana kwahiyo nalo pia likatuongezea mashaka…. je hizi ni zilezile jitihada za kuhujumu bandari yetu ya Dar es salaam?

Mtazame Jerry Muro mwanzo mwisho akiongea kwenye hii video hapa chini

VIDEO: KATIBU MKUU CCM ATAKA KANGI LUGOLA AMPE MAELEZO “NATAKA MAJIBU” BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA YOTE

Soma na hizi

Tupia Comments