Habari za Mastaa

FULL LIST: Wanaowania Tuzo za SINEMA ZETU 2019, Duma hayupo

on

Ni headlines za kuelekea kwenye utoaji wa tuzo za Sinema zetu ambapo leo Feb 15, 2019 Jaji mkuu wa tuzo hizo, Martin Mhando ametoa majibu kwa waandishi wa habari juu ya utoaji wa tuzo hizo na wasanii wanaowania tuzo za Sinema Zetu International Film Festival tarehe 23 Februari mwaka huu.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO.

VIDEO: MWIJAKU APATA SHAVU ”TUTUMIE MITANDAO KWA FAIDA’

Soma na hizi

Tupia Comments