Video Mpya

VideoMPYA: Isikupite hii kutoka kwa Rosa Ree na Timmy Tdat ‘Asante Baba Remix’

on

Mkali Rosa Ree ameamua kurudi tena studio baada ya kuona wimbo wa ‘Asante Baba’ umefanya vizuri na time hii kaufanyia remix wimbo huo kwa kumshirikisha mkali Timmy Tdat na ngoma wameita ‘Asante Baba Remix’. Hii hapa chini video yake Bonyeza PLAY kuitazama.

VIDEO: Mpaka studio kwa Abbah, aonesha alivyozisuka ngoma za Darassa, Marioo na wakali wengine

Soma na hizi

Tupia Comments