Top Stories

Lawrence Masha akanwa Fastjet “Sio bosi wetu,hatulipi mshahara” (+video)

on

Wafanyakazi wa Kampuni ya Ndege ya Fastjet wamedai kuwa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha hawamtambui kama kiongozi bali ni mfanyakazi mwenzao.

Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu madai, Mfanyakazi Mwandamizi ndani ya Fastjet, Mohammed Ngamanya amesema kuwa hadi sasa wanadai walimbikizo ya mishahara.

Hakuna kificho juu yake sio kama tunayatengeza, kwani yeye ni mfanyakazi na anapokea mshahara kama sisi, hivyo tunaendelea na madai kama ikifika muda serikali imuwajibishe,amesema.

EXCLUSIVE: WATANZANIA WAGUNDUA DAWA YA WIZI WA MAGARI

Soma na hizi

Tupia Comments