AyoTV

EXCLUSIVE: Msichana aliyeongoza kitaifa kidato cha nne (+video)

on

Tunayo story kutokea kwa Maria Robert Manyama akiwa ni msichana pekee aliyeshika nafasi ya tatu kwa upande wa wavulana na wa kwanza kwa upande wa wasicha Kitaifa katika matokeo ya Kidato cha nne yaliyotangazwa hivi karibuni.

Akizungumza na Ayo TV, Maria amesema siri ya mafanikio ya kufaulu kwake kunatokana na kumtegemea Mungu ambaye kamuwezesha kusoma na kujitambua, pia kusoma kwa bidii na watu wanaomzunguika ikiwemo wazazi wake, walimu na rafiki zake.

“Hata mimi katika kukuwa kwangu nimeziona baadhi ya changamoto, huku vishawishi kwa upande wa wasichana,”amesema.

MSAJILI ALIYEIKATAA KESI YA ZITTO KABWE AFUNGUKA

Soma na hizi

Tupia Comments