Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: GOOD NEWS: Apollo hospital kutibu Tezi dume, Uvimbe wa kizazi bila upasuaji
Share
Notification Show More
Latest News
Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
February 2, 2023
Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > GOOD NEWS: Apollo hospital kutibu Tezi dume, Uvimbe wa kizazi bila upasuaji
Top Stories

GOOD NEWS: Apollo hospital kutibu Tezi dume, Uvimbe wa kizazi bila upasuaji

May 14, 2018
Share
1 Min Read
SHARE

Leo May 14, 2018 nakusogezea good news kutoka Apollo hospitals India ambapo wamekuja na mbinu mpya ya Kutibu uvimbe katika kizazi, Tezi dume, Kansa ya ini na Mgongo, wamefanya huduma ya kliniki katika hospitali ya Hitech Sai Upanga.

Kliniki hiyo ilihusu mbinu mpya ya matibabu bila upasuaji ambapo hapa Dr. Sandip Jhala anaelezea Namna ya Kutibu magonjwa ya uvimbe kwenye kizazi (Fibroids), Mgongo Kuuma (lower back pain) Kansa ya ini na tezi dume bila upasuaji.

Akitoa shukrani, Ofisa wa Apollo, Mr. Shahidi Parwez amesema watakuwa wakishirikiana  na Hospitali mbalimbali nchini katika kutoa huduma mbalimbali za matibabu kwa Watanzania.

Pia, alimtambulisha mwakilishi wa Apollo Hospitali hapa nchini, Mr Alex Audax (+255766384851) ambaye anaratibu na kuwasiliana na Watanzania wanaoenda India kutibiwa katika hospitali za Apollo.

LIVE MAGAZETI: Zengwe laibuka CCM, Polisi atekwa na wasiojulikana

You Might Also Like

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama

Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha

Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro

Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu

liganga na Mchuchuma ngoma nzito, Waziri akubali hoja za Askofu Gwajima

TAGGED: TZA HABARI
Millard Ayo May 14, 2018
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article PICHA: Yaliyojiri kwenye uzinduzi wa Movie ya Mama ya Aunty Ezekiel ‘May 13,2018
Next Article “Nchi yetu inaviashiria vya ugaidi” –Joseph Selasini
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
Top Stories February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
Magazeti February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
Top Stories February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
Top Stories February 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama

February 2, 2023
Top Stories

Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha

February 2, 2023
Top Stories

Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu

February 2, 2023
Top Stories

liganga na Mchuchuma ngoma nzito, Waziri akubali hoja za Askofu Gwajima

February 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?