Top Stories

Meneja TRA “Taasisi za Dini,Hisani zinapaswa kusajiliwa,zipewe namba ya Mlipa Kodi” (+video)

on

Tunayo stori kutokea Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ambapo imebainisha kuwa kumekuwa na malalamiko na changamoto kutoka Taasisi za Dini na Wahisani ambazo zinaamini kwamba hazipaswi kusajaliwa.

Akizungumza na waandishi wa habari Meneja Elimu kwa Mlipa Kodi (TRA) Diana Masalla amesema taasisi za dini na wahisani wanapaswa kusajiliwa na kupewa namba ya mlipa kodi isipokuwa zitakaguliwa shughuli wanazozifanya.

WAFANYABIASHARA MBEYA WATOA KERO ZAO KUHUSU MIFUKO YA RAMBO

Soma na hizi

Tupia Comments