Top Stories

Maagizo mapya kuhusu Mifuko ya Plastiki “Mtaa utakaofanya vizuri utapata Milioni3” (+video)

on

Baada ya serikali kutoa katazo la Mifuko ya Plastiki, Leo Juni 1, 2019 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais ( Muungano na Mazingira), January Makamba amefanya ziara katika masoko makubwa jijini Dar es Salaam ambapo ametoa maagizo kwa Halmashauri zote nchini na viongozi wa mikoa kupambana na wanaokiuka katazo hilo.

Waziri Makamba amesema katika kuhakikisha hilo wanatarajia kuongeza kanuni nyingine za kudhibiti mifuko ya Plastiki ambapo pia mtaa utakaoongoza utapata zawadi ya Shilingi Milioni 3.

“TAASISI ZA DINI, HISANI ZINAPASWA KUSAJILIWA, ZIPEWE NAMBA YA MLIPA KODI” MENEJA TRA

Soma na hizi

Tupia Comments