Michezo

Full Time ya Portugal vs Ghana June26, ball possession na mengine

on

Screen Shot 2014-06-26 at 11.15.20 PM
Kwa mara nyingine tena Afrika ilipeleka macho yake kwenye mechi hii ya June 26 2014 iliyoihusisha timu ya Afrika ambayo ni Ghana ambapo Portugal waliandikiwa goli la kwanza baada ya mchezaji wa Ghana Boye kujifunga kwenye dakika ya 31 akidhani ameokoa.

Kwenye dakika ya 57 Asamoah Gyan alisawazisha lakini Ronaldo akaiongezea timu yake goli la pili kwenye dakika ya 80 ambapo mpaka Full Time ilikua Portugal 2 – 1 Ghana.
ghana

us2

usa

us1

Tupia Comments