Burudani

Idris kaelezea tena kuhusu post yake kwa Diamond iliyomkera Hamisa

on

Baada ya Mwanamitindo Hamisa Mobeto kumjia juu Staa wa Bongo Idris Sultan baada ya kupost kwenye mtandao wake wa Instagram picha ya Sh 500 na kumtaka Diamond Platnumz kwenye siku yake ya kuzaliwa aitumie pesa hiyo kununua condom ili kuepuka kujikuta amezaa tena na mwanamke mwingine pasipo kutarajia, Idris amelizungumzia tena suala hilo na kusema hakuwa na nia ya kumuumiza Hamisa wala kumdhalilisha na kwamba kwake ilikua ni utani wa kawaida tu.

Ulipitwa na hii?Idris Sultan amkasirisha Hamisa Mobeto

Soma na hizi

Tupia Comments