Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

EXCLUSIVE: Nyumbani kwa BILIONEA Mtanzania aliepata Almasi ya BILIONI 3 Shinyanga (+video)

on

Reporter wako Millard Ayo amefika mpaka Shinyanga kwa Mfanyabiashara Bilionea Mtanzania Joseph Temela ambae alitangazwa na Serikali kwamba amepata jiwe la ALMASI lenye thamani ya BILIONI 3, najua unayo maswali mengi ikiwemo atazifanyia nini pesa zake? historia ya kutoka familia masikini, ulinzi wake ukoje baada ya hizo BILIONI? bonyeza play hapa chini kumtazama

EXCLUSIVE: MILIONEA SUMRY HATAKI TENA KUSIKIA BIASHARA YA MABASI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

FULL INTERVIEW: MTOTO GUMZO ANTHONY PETRO KAONGEA TUSIYOYAJUA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments