Jay Moe ni miongoni mwa ma rapper wa longtime kwenye tasnia ya Bongo Fleva, sasa leo ametoa ya moyoni kuhusiana na wasanii wanaojihusisha na dawa za kulevya.
Akizungumza na millardayo.com alisema..’Mimi sidhani kama kuna uhusiano wowote isiwe sababu eti muziki ndio chanzo cha wao kujihusisha na madawa ya kulevya kwa upande wangu ni life style yao tu ndio inawapeleka lakini siamini ni kwamba kutofanya vizuri katika tasnia yetu ya muziki ndio chanzo hapana’- Jay Moe
‘Ninachowaomba wasanii wenzangu na mashabiki tuache kujihusisha na Dawa za kulevya kwani Bongo Fleva bila madawa inawezekana kwani maisha yetu bila muziki hatuwezi kufika mbali na kuutangaza muziki wetu kwahiyo nawaomba mashabiki wasupport kazi zetu’– Jay Moe
ULIIKOSA MUONEKANO WA CHID BENZ BAADA YA KUTOKA SOBER HOUSE BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE