Breaking News

BREAKING: Tundu Lissu amepelekwa nyumbani kwake kupekuliwa

on

Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu apelekwa nyumbani kwake na Polisi kwa ajili ya kupekuliwa.

Tundu Lissu anashikiliwa na Polisi baada ya kumkata jana alipokuwa anatoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo alipelekwa Kituoni kuhojiwa.

Kaa na Ayo TV na millardayo.com kwa UPDATES zaidi kila zinapojiri…

Soma na hizi

Tupia Comments