AudioMpya

AudioMPYA: Ni time ya Rhino kwenye ‘My Desire’, karibu kuisikiliza

on

Tayari ni ngoma ambayo imeshapikwa na Steve Philips pamoja na Kimambo on beats inaitwa ‘My Desire’ iliyofanywa na Rhino, hivyo anakukaribisha kuisikiliza kwa kubonyeza PLAY hapa chini.

LIVE: WEMA SEPETU AITWA TENA NA BODI YA FILAMU

Tupia Comments