AyoTV

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni atahakikisha AS Kigali hatoki kwa KMC

on

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo amezungumza na waandishi wa habari kuelekea mchezo wa Kombe la shirikisho kati ya KMC dhidi ya AS Kigali, DC Chongolo anahamasisha watanzania wajitokeze kwa wingi na kaweka wazi kuwa kesho atakuwepo uwanjani kuishangilia KMC na kuhakikisha AS Kigali hawachomoki kwa KMC.

VIDEO: Kwa tathmini hii ya Edo Kumwembe, Mashabiki wa Chelsea haina budi kuwa wavumilivu

Soma na hizi

Tupia Comments