Michezo

Binti kajitokeza na kudai Maradona ni baba yake mzazi

on

Staa wa zamani wa vilabu vya Napoli na timu ya taifa ya Argentina Diego Maradona inaripotiwa kuwa kuna uwezekano mkubwa wa kutangazwa kubaini mtoto wake mwingine, taarifa hizo zinakuja baada ya msichana Magali mwenye umri wa miaka 23 kutangaza kuwa yeye ni mtoto wa Diego Maradona na yupo tayari kuthibitisha hilo.

Maradona kwa sasa ana umri wa miaka 58 na tayari ana watoto watano wanaojulikana aliowapata kwa wanawake wanne tofauti wakiwemo pwa mke wake wa zamani Claudia Villafane na pamoja kwa mpenzi wake wa muda mrefu Veronica Ojeda kati ya watoto hao wawili wakiume na watatu wa kike, Magali anaamini Maradona baba yake na yupo tayari kuthibitisha hilo kwa vipimo vya DNA.

Magali 

VIDEO:AJIB BWANA MIPANGO !!! KAANZISHA MOVE NA KWENDA KUFUNGA

Soma na hizi

Tupia Comments