Top Stories

Mkulima wa Manyara aliyevuna Tsh Milioni 81 kwa ubashiri

on

Moja kati ya habari kubwa ni pamoja na hii ya mkulima na mfanyabiashara ndogo ndogo kutoka Manyara aliyefahamika kwa jina la Simon Muray kufanikiwa kushinda zaidi ya Tsh Milioni 81 kwa kufanikiwa kubashiri kwa ufasaha michezo 12 kutoka Mbet.

Simon Muray ambaye ameahidi pesa zake kuwa atazitumia kufanyia biashara na kupeleka international watoto wake kusoma, alivuna Mamilioni hayo kwa kufanikiwa kuzichanga karata za ubashiri wake vyema.

Bwana Muray ambaye amekiri kufanya kilimo ambacho kinategemea mvua zaidi, amekabidhiwa hundi yake ya pesa na kukubali kukatwa kodi asilimia 20 ya TRA kama kodi ya ushindi wa zawadi hiyo.

Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera kataja walichozidiwa wachezaji wake na Simba

Soma na hizi

Tupia Comments