AyoTV

VIDEO: Hii kwa Erasto Nyoni ni kalama tu kapewa na Mungu

on

Nahodha msaidizi wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ya wachezaji wa ndani Erasto Nyoni baada ya kuwasili kutokea Sudan walikopata ushindi wa 2-1 na kufuzu kucheza fainali za CHAN 2020 zitakazofanyika Cameroon kwa aggregate 2-2 ila faida ya kufunga magoli mengi ugenini kuwabeba.

AyoTV ilimpata na kuongea nae katika Exclusive Interview, Erasto alikuwa ni mfungaji wa goli la kusawazisha la Taifa Stars kabla ya Ditram Nchimbi kufunga goli la ushindi la Taifa Stars, ila goli la faulo la Erasto lilikuwa gumzo kutokana na ufundi mkubwa lakini alipohojiwa na AyoTV kuhusiana na hilo alisema ni kipaji tu kapewa na Mungu kuwa na uwezo wa kupiga mipira iliyokufa.

AUDIO: SERGIO AGUERO WA MAN CITY AMEPATA AJALI

Soma na hizi

Tupia Comments